Posted By Posted On

EPL SAA 1:30 USIKU Leeds United vs Arsenal 🎯 Leeds hawajaonja Radha ya ushindi kwenye mechi 7 za mwisho dhidi ya Arsenal kwe…

EPL

SAA 1:30 USIKU

Leeds United vs Arsenal

🎯 Leeds hawajaonja Radha ya ushindi kwenye mechi 7 za mwisho dhidi ya Arsenal kwenye mashindano yote, Sare mechi 1 na kufungwa mechi 6. Tangu waliposhinda 3-2 kwenye uwanja wa Highbury May 2003.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *