Posted By Posted On

FERNANDES AFUNGA KWA PENALTI YA MARUDIO MAN UNITED YASHINDA 1-0


Bruno Fernandes akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester United dakika ya 56 kwa penalti ya marudio baada ya awali kuokolewa na Sam Johnstone, lakini Mreno huyo akapewa nafasi nyingine kutokana na kipa huyo kusogea mbele ya mstari wa lango lake wakati wa pigo la kwanza katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Bromwich Albion jana Uwanja wa Old Trafford 
PICHA ZAIDI GONGA HAPA


,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *