Posted By Posted On

Ligi kuu Vodacom kuendelea kushika kasi leo kwa michezo miwili. Kagera Sugar kuwakaribisha Mwadui FC katika dimba la kaitaba, t…

Ligi kuu Vodacom kuendelea kushika kasi leo kwa michezo miwili.

Kagera Sugar kuwakaribisha Mwadui FC katika dimba la kaitaba, timu zote zinahitaji pointi 3 ili kuweza kujinasua kutoka nafasi za chini kwenye msimamo wa VPL. Je nani kuondoka na pointi 3?

Wananchi Yanga SC kuwakaribisha Namungo FC katika dimba la Benjamini Mkapa, Yanga wanataka pointi 3 ili wapande kilele katika msimamo wa VPL wakati Namungo nao wakiwa chini ya kocha mpya wanataka pointi 3 pia ili kuisogea nafasi za juu kutoka nafasi ya 9. Je ni Yanga ama Namungo nani kuondoka na pointi 3?

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *