Posted By Posted On

Ligi Kuu ya Zanzibar November 22,2020. Round 1. MATOKEO MAU A:10:00 Alasiri FT:Mlandege 3-0 Hard Rock Wafungaji : Khamis Abd…

Ligi Kuu ya Zanzibar November 22,2020.
Round 1.

MATOKEO

MAU A:10:00 Alasiri
FT:Mlandege 3-0 Hard Rock
Wafungaji : Khamis Abdalla Dk ya 10, Seif Salim dakika ya 20 na Simai Ali Dk ya 55.

Amaan:10:00 Alasiri
FT:Zimamoto 2-0 KMKM
Wafungaji: Kassim Suleiman Dk ya 88 na Juma Ali Dk ya 90.

Mchezaji wa Zimamoto alitolewa kwa Kadi Nyekundu Hassan Said Dk ya 71.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *