Posted By Posted On

MESSI HOI BARCELONA YACHAPWA 1-0 NA ATLETICO MADRID


Lionel Messi akiwa mnyonge baada ya Barcelona kuchapwa 1-0 na Atletico Madrid, bao pekee la Yannick Carrasco dakika ya 45 na ushei kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano Jijini Madrid. Kwa ushindi huo wa kwanza dhidi ya Barcelona ndani ya miaka 10, Atletico Madrid inafikisha pointi 20 baada ya kucheza mechi nane na kusogea nafasi ya pili, ikizidiwa wastani wa mabao na Real Sociedad inayoongoza. Barcelona inabaki na pointi zake 11 katika nafasi ya 10 baada ya kucheza mechi nane
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *