
-Mshambuliaji Abdulhamis Suleiman Sopu amefunga magoli matatu (hat-trick) huku nahodha Kelvin John akihusika katika magoli matat…
-Mshambuliaji Abdulhamis Suleiman Sopu amefunga magoli matatu (hat-trick) huku nahodha Kelvin John akihusika katika magoli matatu baada ya kutoa (assists 3) katika ushindi wa Ngorongoro Heroes dhidi ya Djibouti.
FT’ Tanzania U20 6-1 Djibouti U20
52′ Tepsi 14′ Kamal
64′ Sopu
72′ Sopu
82′ Khelfin
88′ Kassim
90′ Sopu (p)
#CECAFAU20..
,
Comments (0)