Posted By Posted On

-Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya klabu ya Yanga na Mkurungezi wa uwekezaji wa kampuni ya GSM Eng Hersi Said amesema kuwa n…

-Mwenyekiti wa kamati ya mashindano ya klabu ya Yanga na Mkurungezi wa uwekezaji wa kampuni ya GSM Eng Hersi Said amesema kuwa nyota wao Carlos Fernandes Carlinhos Kwa sasa atarejea kwa nguvu zaidi kwa kuwa familia yake imekuja Tanzania, Eng Hersi amedai kuwa anajua faida ya mtu wa mbali kuwa karibu na familia yake.
#sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #sportskitaa #talentonlineTv

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *