Posted By Posted On

NGORONGORO HEROES WAANZA VYEMA MICHUANO YA CECAFA, WAICHAPA DJIBOUTI 6-1 KARATU

 

Mchezaji wa Ngorongoro Heroes Abdul Hamisi Suleiman akiwa na mpira baada ya kufunga mabao matatu dakika za 65,71 na 90 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Djibouti kwenye mchezo wa Kundi A michuano ya CECAFA U20 leo Uwanja wa Black Rhino Academy, Karatu mkoani Arusha. Mabao mengine ya Tanzania yalifungwa na Teps Theonasy dakika ya 52, Khelfin Hamdou dakika ya 82 na Kassim Haruna dakika ya 88, wakati la Djibouti limefungwa na Abdourahma Kamil dakika ya 14
,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *