Posted By Posted On

SIMBA KULIPA MILIONI 893 KWA NSABIYUMVA…?? kwa mujibu wa wakala wachezaji kutoka Afrika Kusini anayejulikana Kama Tra Bi Her…

SIMBA KULIPA MILIONI 893 KWA NSABIYUMVA…??

kwa mujibu wa wakala wachezaji kutoka Afrika Kusini anayejulikana Kama Tra Bi Herve anasema ili Simba iweze kumpata beki huyo itawalazimu kulipia kiasi cha MILIONI 893 za kitanzania…

Beki huyo mwenye umri wa miaka 25 kwa sasa anakipiga katika Klabu ya Chipa United ya nchini Afrika Kusini…

Je SIMBA Itatoa kiasi hiko kwa beki huyoo

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *