Posted By Posted On

Soka ukilifikiria kwa Mfumo wa. Ushindi tu kuna siku utapigana na watu, Soka ni Tofauti kabisa na unachowaza. Unaweza kudhani l…

Soka ukilifikiria kwa Mfumo wa. Ushindi tu kuna siku utapigana na watu, Soka ni Tofauti kabisa na unachowaza.

Unaweza kudhani leo Yanga hawakucheza ila ukweli wamecheza sana ila soka ni mkusanyiko wa vitu vingi, ikiwemo Bahati pia

Kuna kipindi niliandika hapa kuwa hii ligi bado mbichi sana na tukianza kuhukumiana kwa mechi za mwanzo tutatafutana uchawi bure

Kaze apewe muda aisome ligi, asipewe presha ya kutaka ushindi na makombe kibao ghafla, soka halipo hivyo, Yanga imebadilika kiuchezaji sana tofauti na Yanga ile ya Mwanzo

MASWALI MAGUMU

1. Hivi Yanga ina wachezaji wenye kiwango alafu imekosa muunganiko?

2. Au Yanga ina Muunganiko ila haina wachezaji wenye Ubora?

3. Au Yanga ina Muunganiko, na ina wachezaji wazuri alafu inakosa Bahati?

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *