Posted By Posted On

TOTTENHAM HOTSPUR YAIFUMUA MANCHESTER CITY 2-0 LONDON


Giovani Lo Celso na Son Heung-min wakishangilia baada ya wote kuifungia Tottenham Hotspur katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Tottenham Hotspur Jijini London. Son Heung-min alifunga la kwanza dakika ya tano na Giovani Lo Celso la pili dakika ya 65 na kwa ushindi huo, Tottenham Hotspur inafikisha pointi 20 na kupanda kileleni ikiwazidi pointi mbili Chelsea baada ya wote kucheza mechi tisa
ย PICHA ZAIDI GONGA HAPA

ย ย 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *