Posted By Posted On

πŸ“Œ Bao la Diogo Jota kwa Liverpool dhidi ya Leicester City lilikuja baada ya kupigwa pasi 30; Tangu Mwanzo wa ukusanyaji wa data …

πŸ“Œ Bao la Diogo Jota kwa Liverpool dhidi ya Leicester City lilikuja baada ya kupigwa pasi 30; Tangu Mwanzo wa ukusanyaji wa data za kina kutoka 2006-07, hilo ndilo Bao la kwanza kufungwa kwa kupigwa pasi nyingi Katika Premier League na Katika historia ya Liverpool.

πŸ“Œ Jota anakuwa mchezaji wa kwanza kufunga katika kila mechi Kati ya Nne za kwanza za ligi kuu Uwanja wa nyumbani kwa Liverpool – sasa ameifungia Porto, Wolves na Liverpool dhidi ya Leicester City; Idadi kubwa ya magoli dhidi ya The Foxes kuliko klabu nyingine yeyote aliyokutana nayo.
#DiogoJota #Liverpool #PremierLeague
@Harunlugoyah

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *