Posted By Posted On

Ameandika Haji Manara: “Mara ya mwisho mchezaji wa Utopolo kufunga Hat-trick @officialzuchu alikuwa darasa la nne, @hamisamob…

Ameandika Haji Manara:

“Mara ya mwisho mchezaji wa Utopolo kufunga Hat-trick
@officialzuchu alikuwa darasa la nne,
@hamisamobetto na @diamondplatnumz walikuwa ben ben
Mabasi ya Mwendo kasi bado yalikuwa hayajaanza,
GSM bado ilikuwa inatumia jina la Home shopping
@babutale bado alikuwa akiishi Manzese na @madeeali
@wemasepetu shepu yake ilikuwa ileeeee πŸ€ͺπŸ€ͺ”

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *