Posted By Posted On

Baada ya FIFA kumfungia aliyekuwa Rais wa CAF, Ahmad Ahmad wa CAF miaka mitano kujihusisha na soka, CAF imemtangaza mjumbe wa ba…

Baada ya FIFA kumfungia aliyekuwa Rais wa CAF, Ahmad Ahmad wa CAF miaka mitano kujihusisha na soka, CAF imemtangaza mjumbe wa baraza Kuu FIFA ambaye pia ni Rais wa shirikisho la soka nchini DR.Congo, Omari Selemani kuwa kaimu Rais wa CAF kwa kipindi cha mpito hadi uchaguzi utakapofanyika March 2021.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *