Posted By Posted On

Beki wa kati, Gerard Pique anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa miezi 6 baada ya kuumia kwenye mchezo wa juzi. Pique alitoka nje …

Beki wa kati, Gerard Pique anatarajia kukaa nje ya uwanja kwa miezi 6 baada ya kuumia kwenye mchezo wa juzi.

Pique alitoka nje ya uwanja akiwa mwenye majonzi baada ya kuumia goti la mguu wa kulia wakati Barca ikilala kwa bao 1-0 dhidi ya Atletico Madrid kwenye mchezo wa La Liga.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *