Posted By Posted On

– Beki wa zamani wa Mamelodi Sundowns, Anele Ngcongca amefariki Dunia katika ajali ya gari katika kitongoji cha KwaZulu mapema l…

– Beki wa zamani wa Mamelodi Sundowns, Anele Ngcongca amefariki Dunia katika ajali ya gari katika kitongoji cha KwaZulu mapema leo asubuhi ya Jumatatu – Mchezaji huyo wa zamani wa kimataifa wa Afrika Kusini aliripotiwa kufariki katika ajali ya gari saa 5:00 Alfajiri kwa Masaa ya Afrika Kusini wiki mbili tu baada ya kuondoka Mamelodi Sundowns na kujiunga na Amazulu FC kwa Mkopo.

– Mzaliwa wa Cape Town alikuwa bado mwanasoka mwenye kipaji kabla ya kufariki – Beki huyo wa kulia pia alizichezea Troyes ya Ufaransa na KRC Genk ya Ubelgiji kati ya 2015-2016… Ngcongca alishinda mataji manane katika miaka nane akisakata Soka na alikuwa sehemu ya Kikosi cha Bafana Bafana 🇿🇦 kutoka 2009 Hadi 2016.
#MamelodiSundowns #AmaZuluFC #DStvPremiership
#AneleNgcongca
@Harunlugoyah

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *