Posted By Posted On

BREAKING NEWS Serikali ya Uingereza wanatarajia kuruhusu mashabiki kurejea viwanjani kuanzia December 2 kwenye miji yenye asili…

BREAKING NEWS

Serikali ya Uingereza wanatarajia kuruhusu mashabiki kurejea viwanjani kuanzia December 2 kwenye miji yenye asilimia chache za maambukizi ya Corona na itakayokidhi hatua za kujikinga na COVID-19.

Ligi kuu wataruhusiwa mashabiki 4000.

Championship wataruhusiwa mashabiki 2000.

Ligi za chini zitaendelea kuchezwa bila mashabiki.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *