Posted By Posted On

BREAKING: Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) , Ahmad Ahmad amefungiwa na FIFA kujihusisha na Soka kwa muda wa miaka …

BREAKING: Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) , Ahmad Ahmad amefungiwa na FIFA kujihusisha na Soka kwa muda wa miaka mitano.

Kamati ya maadili ya FIFA imemkuta Ahmad na makosa kadhaa yakiwemo, kukosa uaminifu, Kupokea na kutoa Rushwa, Matumizi mabaya ya Madaraka na Matumizi mabaya fedha.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *