Posted By Posted On

BREAKING: Shirikisho la Soka Duniani “FIFA” limempiga marufuku kwa Miaka Mitano kujihusisha na masuala ya Soka Rais wa Shirikish…

BREAKING: Shirikisho la Soka Duniani “FIFA” limempiga marufuku kwa Miaka Mitano kujihusisha na masuala ya Soka Rais wa Shirikisho la Soka Afrika “CAF”, Ahmad Ahmad kwa matumizi mabaya ya Madaraka na fedha.

– Kulingana na taarifa ya FIFA, Ahmad raia wa Madagascar 🇲🇬 ameshtakiwa kuhusu masuala mengi ya utawala akitumia pesa za CAF kufadhili safari ya Umrah kwenda Makka kwa marais 15 wa Mashirikisho ya Soka Afrika.

🙌 Bwana Ahmad alikuwa anawania muhula wa Pili wa kuendelea kuliongoza Bara la Afrika Katika Soka – Alikuwa Ni miongoni mwa Wagombea Watano.
#AhmadAhmad #CAF #CAFPresidentialElections #FIFA #AfricanFootball
@Harunlugoyah

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *