
– HATIMAYEEE! Jumla ya Mashabiki wapatao 4,000 wataanza kuruhusiwa katika hafla za Michezo nchini England Baada ya kumalizika kw…
– HATIMAYEEE! Jumla ya Mashabiki wapatao 4,000 wataanza kuruhusiwa katika hafla za Michezo nchini England Baada ya kumalizika kwa lockdown tarehe 2 Disemba mwaka huu – Mashabiki wa mpira wa miguu wamewekwa mbali na viwanja tangu lockdown ya kwanza mnamo Machi.
#England #PremierLeague
@Harunlugoyah
,
Comments (0)