Posted By Posted On

JOTA NA FIRMINO WAFUNGA LIVERPOOL YAWAPIGA LEICESTER CITY 3-0 ANFIELD


Wachezaji wa Liverpool wakipongezana kwa udhindi wa 3-0 dhidi ya Leicester City, mabao yaJonny Evans’ aliyejifunga dakika ya 21, Diogo Jota dakikaya 41 na Roberto Firmino dakika ya 86 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Anfield. Liverpool inafikisha pointi 20 baada ya ushindi huo na kusogea nafasi ya pili, sasa ikizidiwa wastani wa mabao tu na vibara, Tottenham Hotspur
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *