Posted By Posted On

Kutoka Kwa Haji Manara “Sure Boy ,Sure Boy,Sure Boy.. Nimekwita mara tatu Bro,,unajuaga vile navutiwa na uwezo wako uwanjani …

Kutoka Kwa Haji Manara

“Sure Boy ,Sure Boy,Sure Boy..
Nimekwita mara tatu Bro,,unajuaga vile navutiwa na uwezo wako uwanjani na unajua ww ndio mido yangu bora ya juu ,hata nikitaja first eleven zangu kumi za VPL.

Jumatano jicho langu litakuwa kwako,,ukipata performance yako Kwa asilimia hamsini tu,,HAWATOKI!!
Nadhani tumeelewane”
@sure8boy

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *