Posted By Posted On

Kutoka @simbasctanzania Hii ni orodha ya wachezaji 24 ambao watakuwa kwenye kikosi ambacho kesho jumanne Novemba 24, 2020 kita…

Kutoka @simbasctanzania

Hii ni orodha ya wachezaji 24 ambao watakuwa kwenye kikosi ambacho kesho jumanne Novemba 24, 2020 kitaondoka nchini kupitia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro kwenda Nigeria kwa kupitia Ethiopia. Safari itaanza saa 11:45 jioni na kufika usiku jijini Addis Ababa, Ethiopia ambapo kikosi kitapumzika mjini hapo na kuendelea na safari ya kwenda Abuja, Nigeria siku ya jumatano asubuhi.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *