Posted By Posted On

Ni vita ya aina yake ndani ya Uwanja wa Azam Complex, kwa wenyeji Vinara wa VPL, Azam FC, wakiivaa Yanga kwenye mchezo wa ligi u…

Ni vita ya aina yake ndani ya Uwanja wa Azam Complex, kwa wenyeji Vinara wa VPL, Azam FC, wakiivaa Yanga kwenye mchezo wa ligi utakaofanyika saa 1.00 usiku.

Viingilio tayari vimeshawekwa hadharani, kiingilio cha majukwaa ya mzunguko kikiwa ni Sh. 10,000, Sh. 20,000 kwa VIP B na VIP A kikiwa ni Sh. 30,000.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *