Posted By Posted On

PEPE ATOLEWA KWA KADI NYEKUNDU ARSENAL YATOKA 0-0 NA LEEDS


Nicolas Pepe wa Arsenal akisikitika baada ya kutolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 52 kufuatia kumpiga kichwa Ezgjan Alioski wa Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England timu hizo zikitoka sare ya 0-0 jana Uwanja wa Elland Road
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *