Posted By Posted On

Photos from Maulid Kitenge’s post

Huu ndio ushabiki ambao naujua miye wa Simba na Yanga aisee raha tupu! Sio ushabiki wa kishamba wa Matusi. Ukiona ule wa Matusi ujue huyo ni mshamba tu na ni wa kuja hapa mjini unatakiwa kumpuuza! Ushabiki wa kweli ni huu hapa aisee mnacheza na kufurahi pamoja aisee

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *