Posted By Posted On

Photos from YuzoSports’s post

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Mamelodi Sundowns ya South Africa, Anele Ngconga amefariki dunia baada ya kupata ajali ya gari eneo la Kwazulu-Natal alfajiri ya leo.

Mlinzi huyo wa zamani wa Mamelodi Sundowns na na timu ya Taifa ya South Sudan “Bafana Bafana” amefariki akiwa na umri wa miaka 33.

Rest In Peace 🙏

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *