Posted By Posted On

Photos from YuzoSports’s post

BREAKING: Rais wa Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF) , Ahmad Ahmad amefungiwa na FIFA kujihusisha na Soka kwa muda wa miaka mitano.

Kamati ya maadili ya FIFA imemkuta Ahmad raia wa Madagascar na makosa kadhaa yakiwemo, kukosa uaminifu, Kupokea na kutoa Rushwa, Matumizi mabaya ya Madaraka na Matumizi mabaya fedha akitumia pesa za CAF kufadhili safari ya Umrah kwenda Makka kwa marais 15 wa mashirikisho ya soka barani Afrika.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *