Posted By Posted On

Serikali ya Uingereza wanatarajia kuruhusu mashabiki kurejea viwanjani kuanzia December 2 kwenye miji yenye asilimia chache za m…

Serikali ya Uingereza wanatarajia kuruhusu mashabiki kurejea viwanjani kuanzia December 2 kwenye miji yenye asilimia chache za maambukizi ya Corona na itakayokidhi hatua za kujikinga na virisi vya corona.

Ligi kuu wataruhusiwa mashabiki 4000.
Championship wataruhusiwa mashabiki 2000.
Ligi za chini zitaendelea kuchezwa bila mashabiki.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *