
Shirikisho la soka nchini Angola 🇦🇴 limependekeza jina la kocha wa A.S VITA CLUB ya DR.Congo 🇨🇩, Florent Ibenge kuwa kocha wao m…
Shirikisho la soka nchini Angola 🇦🇴 limependekeza jina la kocha wa A.S VITA CLUB ya DR.Congo 🇨🇩, Florent Ibenge kuwa kocha wao mkuu wa timu ya Taifa ya nchi hiyo.
Ibenge alikuwa kocha mkuu wa timu ya Taifa ya DR Congo 🇨🇩 kuanzia August 2014 hadi August 2019 na kuiongoza timu hiyo hadi nafasi ya 3 kwenye kombe la mataifa ya Africa mwaka 2015 yaliyofanyika Equatorial Guinea.
,
Comments (0)