Posted By Posted On

TUTAANZA KUFUNGA MAGOLI MECHI ZIJAZO “Suala la kutokufunga mabao hilo lipo na tunalifanyia kazi, imani yetu ni kwamba tutaanza…

TUTAANZA KUFUNGA MAGOLI MECHI ZIJAZO

“Suala la kutokufunga mabao hilo lipo na tunalifanyia kazi, imani yetu ni kwamba tutaanza kupata matokeo kwenye mechi zetu zijazo kwa kuwa wachezaji wanafuata maelekezo na kila mmoja anatambua majukumu yake,”

🗣️Juma Mwambusi, kocha msaidizi Yanga

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *