Posted By Posted On

#VPL Azam Fc Vs Young Africans Ni vita ya aina yake ndani ya Uwanja wa Azam Complex, kwa wenyeji Vinara wa VPL, Azam FC, waki…

#VPL Azam Fc Vs Young Africans

Ni vita ya aina yake ndani ya Uwanja wa Azam Complex, kwa wenyeji Vinara wa VPL, Azam FC, wakiivaa Yanga kwenye mchezo wa ligi utakaofanyika saa 1.00 usiku.

Viingilio tayari vimeshawekwa hadharani, kiingilio cha majukwaa ya mzunguko kikiwa ni Sh. 10,000, Sh. 20,000 kwa VIP B na VIP A kikiwa ni Sh. 30,000.

Tiketi zimeshaanza kuuzwa katika vituo vya Uwanjani Azam Complex, Dar Live Mbagala, gari maalumu litakalokuwa Buguruni, Magomeni Ice Cream Centre na Kariakoo Ice Cream Centre.

Wahi sasa tiketi yako,Hatumwi mtoto dukani siku hiyo!

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *