Posted By Posted On

πŸ“Œ Conor Coady alikosa mchezo wa Premier League kwa Wolves kwa mara ya kwanza tangu warudi kushiriki Tena ligi hiyo, baada ya kuc…

πŸ“Œ Conor Coady alikosa mchezo wa Premier League kwa Wolves kwa mara ya kwanza tangu warudi kushiriki Tena ligi hiyo, baada ya kucheza kila dakika ya mechi zao 84 kabla ya usiku wa Jana vs. Southampton: Ndiye Mchezaji wa tatu kucheza kila Dakika Katika mechi mfululizo kwenye historia ya mashindano.

⚽ Wachezaji waliocheza Mechi nyingi mfululizo bila kukosa hata Dakika Katika historia ya Ligi Kuu England (Ndani ya Mabao kipindi ambacho mfululizo wao wa kucheza ulimalizika).

112 – Wayne Bridge (Januari 2003)
99 – Leighton Baines (Aprili 2012)
84 – Conor Coady (Novemba 2020)
82 – Alan Wright (Agosti 1997)
76 – Jamie Carragher (Januari 2006)
#Wolves #PremierLeague #ConorCoady #PLStats
@Harunlugoyah

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *