Posted By Posted On

Erasto Nyoni, kipaji maridhawa ndani ya mwili wa mtu mpole. Kiraka wa kweli na kuna muda unatamani umri usisogee ili burudani id…

Erasto Nyoni, kipaji maridhawa ndani ya mwili wa mtu mpole. Kiraka wa kweli na kuna muda unatamani umri usisogee ili burudani idumu.

Bendera ya Taifa kwenye mikono salama. Kila la kheri kwa Simba wote kwenye mechi dhidi ya Wanigeria (Plateau).

#M9Updates

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *