Posted By Posted On

Katibu Mkuu wa zamani wa CAF Marehemu Amr Fahmy aliyefariki February 2019 ndiye aliyefichua matumizi mabaya ya Rais wa CAF Ahmad…

Katibu Mkuu wa zamani wa CAF Marehemu Amr Fahmy aliyefariki February 2019 ndiye aliyefichua matumizi mabaya ya Rais wa CAF Ahmad Ahmad na kumfanya afutwe kazi kabla ya kufariki.

Fahmy ndiye aliyetoa siri hizo ambazo zimepelekea FIFA kufanya uchunguzi na hatimaye kutangaza kumfungia Ahmad Ahmad miaka mitano na faini ya zaidi ya Tsh milioni 500.

Mwandishi wa habari na muhariri mkuu wa mtandao wa FilGoal wa Misri Fady Ashraf jana ndio ameweka wazi kuwa marehemu Fahmy ndio alimtumia taarifa za matumizi mabaya ya taasisi hiyo hata kabla ya FIFA hawajamfungia na yeye kuzitoa nje.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *