
Photos from SokaPlace’s post
#Repost @33_metacha
Kwa namna ya kipekee kabisa napenda kuwashukuru mashabiki wa Young Africans SC kwa upendo na ukarimu wao, Lengo letu lilikuwa ni pointi 3 lakini tunashukuru kwa tulichokipata. Tuendelee kushikamana kwa kila hali mpaka tutimize lengo @yangasc
#sokaplaceupdates
,
Comments (0)