Posted By Posted On

Photos from SokaPlace’s post

#Repost from @antonionugaz

Kila la Kheri kwako Mkurugenzi wa uwekezaji GSM Eng. Hersi Said na Alvaro Paya mwakilishi wa La Liga Wakiwa Uwanja wa Julius K. Nyerere terminal 3 kuelekea Spain 🇪🇸 kwa ajili ya kukabidhiwa rasmi Rasimu ya awali ya mabadiliko ya uendeshwaji wa klabu yetu. @caamil_88 @alvaropayalaliga @yangasc

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *