Posted By Posted On

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limekanusha kuhusika kwa raisi wa (TFF) Wallace Karia katika ubadhirifu wa pesa za (CAF) ziliz…

Shirikisho la soka Tanzania (TFF) limekanusha kuhusika kwa raisi wa (TFF) Wallace Karia katika ubadhirifu wa pesa za (CAF) zilizotumiwa vibaya na aliyekuwa raisi wa (CAF) Ahmad Ahmad na kupelekea kufungiwa na (FIFA) kwa miaka (5).

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *