Posted By Posted On

TAFADHALI KIPAZA. . Tafadhali Kipaza, Zungu amefika Usafini na tumemkaribisha tafadhali muheshimu. Sauti ya Zungu ni Dhahabu ka…

TAFADHALI KIPAZA.
.
Tafadhali Kipaza, Zungu amefika Usafini na tumemkaribisha tafadhali muheshimu.

Sauti ya Zungu ni Dhahabu katika masikio kwa hiyo nakuomba kipaza muheshimu Zungu ili Jamii ifurahie zawadi maridhawa kutoka kwake. Najua unawafahamu na kuwaheshimu wengi lakini kipaza muheshimu Zungu.
.
Kuna mengi sana ya kujifunza kutoka kwake, nakuomba kipaza Zungu akikaa mbele yako basi mpe Heshima kwani hii ni nafasi pekee kwako kuwa Karibu na Zungu.
.
Karibu Zungu, Karibu sana katika timu ya ushindi na imani yetu utacheza kwa kiwango cha Dhahabu na kuipa timu vikombe vya Heshima.

Karibu @officialzungu_
.
#TafadhaliKipaza

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *