Posted By Posted On

#TANZIA Beki wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini na club ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini Anele Ngcongca ,33, amefa…

#TANZIA

Beki wa zamani wa timu ya taifa ya Afrika Kusini na club ya Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini Anele Ngcongca ,33, amefariki dunia asubuhi ya jana kwa ajali ya gari Kwa Zulu-Natal Afrika Kusini.

Anele Ngcongca ameichezea club ya Mamelod Sundowns kwa miaka minne (2016-2020) hiyo ni baada ya kudumu na KRC Genk ya Ubelgiji kwa miaka 9 (2007-16).

R.I.P ANELE 😭😭😭

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *