
#tetesizausajili Fraga aipeleka Simba Uganda Majeruhi ya muda mrefu ya kiungo mkabaji, Gerson Fraga huenda yakaifanya klabu ya…
#tetesizausajili
Fraga aipeleka Simba Uganda
Majeruhi ya muda mrefu ya kiungo mkabaji, Gerson Fraga huenda yakaifanya klabu ya Simba kumsajili kiungo wa timu ya Taifa ya Uganda, Tadeo Lwanga ili kuziba pengo la mbrazil huyo atakayekaa nje hadi mwisho wa msimu.
,
Comments (0)