Posted By Posted On

Timu ya Taifa U20 “Ngorongoro Heroes” wakiwa kwenye mazoezi leo asubuhi kwenye Uwanja wa Shule Msingi Makao Mapya iliyopo Wilaya…

Timu ya Taifa U20 “Ngorongoro Heroes” wakiwa kwenye mazoezi leo asubuhi kwenye Uwanja wa Shule Msingi Makao Mapya iliyopo Wilaya ya Ngorongoro kuelekea mchezo wao wa pili wa mashindano ya CECAFA U20 dhidi ya Somalia utakaochezwa Novemba 26 Uwanja wa Black Rhino, Karatu.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *