Posted By Posted On

🔘Ureno bila Christiano Ronaldo.🇵🇹 ❌Ilishindwa kufuzu mara 14/17 kuwania tiketi ya kushiriki kwenye fainali za kombe la dunia. …

🔘Ureno bila Christiano Ronaldo.🇵🇹

❌Ilishindwa kufuzu mara 14/17 kuwania tiketi ya kushiriki kwenye fainali za kombe la dunia.

❌Ilishindwa kufuzu mara 8/11 kuwania tiketi ya kufuzu michuano ya UEFA National League.

❌Kati ya kipindi hicho chote timu ya taifa ya Ureno haikuwahi kutwaa kombe lolote kubwa.

🔘Ureno ikiwa na Christiano Ronaldo.🇵🇹

✅Imefanikiwa kufuzu mara 4/4 kwenye fainali za kombe la dunia.

✅Imefanikiwa kufuzu mara 4/4 kwenye michuano ya UEFA National League .

✅Ureno ikiwa na Christiano Ronaldo imefanikiwa kutwaa mara 2 vikombe vikubwa barani ulaya.

#Respect🔘

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *