Posted By Posted On

🗣️ “Tumewasiliana na CAF, tumeanza uchunguzi, unajua hili suala ni jipya na ndio kwanza tumeanza uchunguzi, siwezi kuahidi itach…

🗣️ “Tumewasiliana na CAF, tumeanza uchunguzi, unajua hili suala ni jipya na ndio kwanza tumeanza uchunguzi, siwezi kuahidi itachukua muda gani, lazima kila hatua izingatiwe kwenye uchunguzi huu ili kama Wallace Karia amehusika na wote walionufaika na ubadhirifu huo waweze kubainika na kuchukuliwa hatua za kisheria”.

– Brig. Jen. John Mbungo – Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *