Posted By Posted On

BRAITHWAITE AFUNGA MAWILI BARCELONA YASHINDA 4-0 UGENINI


Martin Braithwaite akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 57 na 70 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Dynamo Kyiv kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya, mabao mengine yakifungwa na Sergino Dest dakika ya na Antoine Griezmann dakika ya 90 na ushei Uwanja wa NSK Olimpijs’kyj Jijini Kyiv
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *