Posted By Posted On

BRUNO FERNANDES APIGA MBILI MANCHESTER UNITED WASHINDA 4-1 ULAYA


Wachezaji wa Manchester United wakipongezana kwa ushindi wa 4-1 dhidi ya Istanbul Basaksehir kwenye mchezi wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Old Trafford. Mabao ya Manchester United yalifungwa na Bruno Fernandes mawili, dakika ya saba Marcus Rashford kwa penalti dakika ya 35 na Daniel James dakika ya 90 na ushei, wakati bao pekee la Istanbul Basaksehir Deniz Turuc dakika ya 75
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *