Posted By Posted On

GIROUD AFUNGA LA USHINDI CHELSEA YAWALAZA RENNES 1-0 KWAO


Olivier Giroud akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 90 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya wenyeji, Rennes kwenye mchezo wa Kundi E Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Roazhon Park. Chelsea ilitangulia kwa bao la Callum Hudson-Odoi dakika ya 22, kabla ya Serhou Guirassy kuisawazishia Rennes dakika ya 85
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *