Posted By Posted On

HAALAND APIGA MBILI BORUSSIA DORTMUND YAICHAPA CLUB BRUGGE 3-0

Erling Haaland akishangilia na Jadon Sancho baada ya wote kuifungia Borussia Dortmund katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Club Brugge kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park. Haaland alifunga mawili dakika ya 18 na 60, wakati Sancho alifunga dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *