Posted By Posted On

Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria na timu ya Club Brugge, Emmanuel Dennis jana amekosa mechi ya UEFA Champions League dhidi y…

Mshambuliaji wa kimataifa wa Nigeria na timu ya Club Brugge, Emmanuel Dennis jana amekosa mechi ya UEFA Champions League dhidi ya Borussia Dortmund kwa sababu hakuweza kukaa kwenye kiti alichokitaka kwenye basi la timu jambo ambalo lilipelekea yeye kupigana na wachezaji wenzake.

Imeripotiwa kuwa Emmanuel alitaka kukaa kiti cha dirishani šŸ¤£.

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *