Posted By Posted On

NEYMAR AFUNGA BAO PEKEE PPSG YAWACHAPA1-0 RB LEIPZIG


Neymar akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao pekee kwa penalti dakika ya 11 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya  RB Leipzig kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes Jijini Paris
 PICHA ZAIDI GONGA HAPA

,

Comments (0)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *